Luka 1:34 - Swahili Revised Union Version Mariamu akamwambia malaika, Litakuwaje neno hili, maana sijui mume? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maria akamjibu, “Yatawezekanaje hayo, hali mimi ni bikira?” Biblia Habari Njema - BHND Maria akamjibu, “Yatawezekanaje hayo, hali mimi ni bikira?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maria akamjibu, “Yatawezekanaje hayo, hali mimi ni bikira?” Neno: Bibilia Takatifu Mariamu akamuuliza huyo malaika, “Maadamu mimi ni bikira, jambo hili litawezekanaje?” Neno: Maandiko Matakatifu Mariamu akamuuliza huyo malaika, “Maadamu mimi ni bikira, jambo hili litawezekanaje?” BIBLIA KISWAHILI Mariamu akamwambia malaika, Litakuwaje neno hili, maana sijui mume? |
Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujia juu yako, na nguvu zake Aliye Juu zitakufunika kama kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu.