Luka 1:31 - Swahili Revised Union Version Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto wa kiume; na jina lake utamwita Yesu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Utachukua mimba, utamzaa mtoto wa kiume, nawe utampa jina Yesu. Biblia Habari Njema - BHND Utachukua mimba, utamzaa mtoto wa kiume, nawe utampa jina Yesu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Utachukua mimba, utamzaa mtoto wa kiume, nawe utampa jina Yesu. Neno: Bibilia Takatifu Tazama, utachukua mimba, nawe utamzaa mtoto wa kiume na utamwita jina Isa. Neno: Maandiko Matakatifu Tazama, utachukua mimba, nawe utamzaa mtoto mwanaume na utamwita jina lake Isa. BIBLIA KISWAHILI Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto wa kiume; na jina lake utamwita Yesu. |
Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara. Tazama, bikira atachukua mimba, atazaa mtoto wa kiume, naye atamwita jina lake Imanueli.
Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake kutoka dhambi zao.
Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi.
Lakini yule malaika akamwambia, Usiogope, Zakaria, maana dua yako imesikiwa, na mkeo Elisabeti atakuzalia mtoto wa kiume, na jina lake utamwita Yohana.
kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu, jina lake Yusufu, wa ukoo wa Daudi; na jina lake bikira huyo ni Mariamu.
Hata zilipotumia siku nane za kumtahiri, aliitwa jina lake Yesu; kama alivyoitwa na malaika kabla hajachukuliwa mimba.
Lakini ulipowadia utimilifu wa wakati, Mungu alimtuma Mwanawe ambaye amezaliwa na mwanamke, amezaliwa chini ya sheria,