Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Luka 1:31 - Swahili Revised Union Version

31 Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto wa kiume; na jina lake utamwita Yesu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Utachukua mimba, utamzaa mtoto wa kiume, nawe utampa jina Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Utachukua mimba, utamzaa mtoto wa kiume, nawe utampa jina Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Utachukua mimba, utamzaa mtoto wa kiume, nawe utampa jina Yesu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Tazama, utachukua mimba, nawe utamzaa mtoto wa kiume na utamwita jina Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Tazama, utachukua mimba, nawe utamzaa mtoto mwanaume na utamwita jina lake Isa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

31 Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto wa kiume; na jina lake utamwita Yesu.

Tazama sura Nakili




Luka 1:31
10 Marejeleo ya Msalaba  

Na wafurahi baba yako na mama yako; Na afurahi aliyekuzaa.


Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara. Tazama, bikira atachukua mimba, atazaa mtoto wa kiume, naye atamwita jina lake Imanueli.


Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake kutoka dhambi zao.


Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi.


asimjue kamwe hadi alipomzaa mwanawe; akamwita jina lake YESU.


Lakini yule malaika akamwambia, Usiogope, Zakaria, maana dua yako imesikiwa, na mkeo Elisabeti atakuzalia mtoto wa kiume, na jina lake utamwita Yohana.


kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu, jina lake Yusufu, wa ukoo wa Daudi; na jina lake bikira huyo ni Mariamu.


Hata zilipotumia siku nane za kumtahiri, aliitwa jina lake Yesu; kama alivyoitwa na malaika kabla hajachukuliwa mimba.


Basi Daudi amwita Bwana; amekuwaje mwana wake?


Lakini ulipowadia utimilifu wa wakati, Mungu alimtuma Mwanawe ambaye amezaliwa na mwanamke, amezaliwa chini ya sheria,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo