Kwa maana wanakimbia mbele ya panga, Upanga uliofutwa, na upinde uliopindwa, Na mbele ya ukali wa vita.
Isaya 13:15 - Swahili Revised Union Version Kila mtu atakayeonekana atatumbuliwa, na kila mtu atakayepatikana ataanguka kwa upanga. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yeyote atakayeonekana atatumbuliwa, atakayekamatwa atauawa kwa upanga. Biblia Habari Njema - BHND Yeyote atakayeonekana atatumbuliwa, atakayekamatwa atauawa kwa upanga. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yeyote atakayeonekana atatumbuliwa, atakayekamatwa atauawa kwa upanga. Neno: Bibilia Takatifu Yeyote atakayetekwa atapasuliwa tumbo, wote watakaokamatwa watauawa kwa upanga. Neno: Maandiko Matakatifu Yeyote atakayetekwa atapasuliwa tumbo, wote watakaokamatwa watauawa kwa upanga. BIBLIA KISWAHILI Kila mtu atakayeonekana atatumbuliwa, na kila mtu atakayepatikana ataanguka kwa upanga. |
Kwa maana wanakimbia mbele ya panga, Upanga uliofutwa, na upinde uliopindwa, Na mbele ya ukali wa vita.
BWANA amefungua akiba yake ya silaha, naye amezitoa silaha za ghadhabu yake; maana Bwana, BWANA wa majeshi, ana kazi atakayofanya katika nchi ya Wakaldayo.
Wachinjeni mafahali wake wote; Na wateremkie machinjoni; Ole wao! Maana siku yao imewadia, Wakati wa kujiliwa kwao.
na kwa wewe nitawavunjavunja mwanamume na mwanamke; na kwa wewe nitawavunjavunja mzee na mtoto; na kwa wewe nitawavunjavunja kijana mwanamume na kijana mwanamke;