Isaya 13:15 - Swahili Revised Union Version15 Kila mtu atakayeonekana atatumbuliwa, na kila mtu atakayepatikana ataanguka kwa upanga. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Yeyote atakayeonekana atatumbuliwa, atakayekamatwa atauawa kwa upanga. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Yeyote atakayeonekana atatumbuliwa, atakayekamatwa atauawa kwa upanga. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Yeyote atakayeonekana atatumbuliwa, atakayekamatwa atauawa kwa upanga. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Yeyote atakayetekwa atapasuliwa tumbo, wote watakaokamatwa watauawa kwa upanga. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Yeyote atakayetekwa atapasuliwa tumbo, wote watakaokamatwa watauawa kwa upanga. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Kila mtu atakayeonekana atatumbuliwa, na kila mtu atakayepatikana ataanguka kwa upanga. Tazama sura |