Isaya 1:22 - Swahili Revised Union Version Fedha yako imekuwa takataka, divai yako imechanganywa na maji. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Fedha yenu imekuwa takataka; divai yenu imechanganyika na maji. Biblia Habari Njema - BHND Fedha yenu imekuwa takataka; divai yenu imechanganyika na maji. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Fedha yenu imekuwa takataka; divai yenu imechanganyika na maji. Neno: Bibilia Takatifu Fedha yenu imekuwa takataka, divai yenu nzuri imechanganywa na maji. Neno: Maandiko Matakatifu Fedha yenu imekuwa takataka, divai yenu nzuri imechanganywa na maji. BIBLIA KISWAHILI Fedha yako imekuwa takataka, divai yako imechanganywa na maji. |
Mji huu uliokuwa mwaminifu umekuwaje kahaba! Yeye aliyejaa hukumu ya haki; haki ilikaa ndani yake, bali sasa wauaji!
Wakuu wako ni waasi, na rafiki za wezi; kila mtu hupenda rushwa, hufuata malipo; hawampatii yatima haki yake, wala maneno ya mjane hayawafikii.
Ee Efraimu, nikutendee nini? Ee Yuda, nikutendee nini? Kwa maana fadhili zenu ni kama wingu la asubuhi na kama umande utowekao mapema.
Kwa maana sisi si kama walio wengi, walichuuzao neno la Mungu; bali kama kwa weupe wa moyo, kama kutoka kwa Mungu, mbele za Mungu, twanena katika Kristo.