Wakawaweka makuhani katika sehemu zao, wakawaweka na Walawi katika zamu zao, kwa ajili ya huduma ya Mungu, iliyokuwako Yerusalemu; kama ilivyoandikwa katika chuo cha Musa.
Hesabu 8:9 - Swahili Revised Union Version Nawe utawaleta Walawi mbele ya hema ya kukutania; nawe utauitisha mkutano wote wa wana wa Israeli; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha utawakusanya watu wote wa Israeli na kuwaleta Walawi mbele ya hema la mkutano. Biblia Habari Njema - BHND Kisha utawakusanya watu wote wa Israeli na kuwaleta Walawi mbele ya hema la mkutano. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha utawakusanya watu wote wa Israeli na kuwaleta Walawi mbele ya hema la mkutano. Neno: Bibilia Takatifu Walete Walawi mbele ya Hema la Kukutania na ukusanye jumuiya yote ya Waisraeli. Neno: Maandiko Matakatifu Walete Walawi mbele ya Hema la Kukutania na ukusanye jumuiya yote ya Waisraeli. BIBLIA KISWAHILI Nawe utawaleta Walawi mbele ya hema ya kukutania; nawe utauitisha mkutano wote wa wana wa Israeli; |
Wakawaweka makuhani katika sehemu zao, wakawaweka na Walawi katika zamu zao, kwa ajili ya huduma ya Mungu, iliyokuwako Yerusalemu; kama ilivyoandikwa katika chuo cha Musa.
Kisha utamleta Haruni na wanawe hapo mlangoni pa hema ya kukutania, nawe utawaosha kwa maji.