Hesabu 4:2 - Swahili Revised Union Version Katika wana wa Lawi uitenge hesabu ya wana wa Kohathi, kwa jamaa zao, na nyumba za baba zao, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Wahesabu watu wa ukoo wa Kohathi, mmoja wa koo za Lawi, kufuatana na jamaa zao na koo zao; Biblia Habari Njema - BHND “Wahesabu watu wa ukoo wa Kohathi, mmoja wa koo za Lawi, kufuatana na jamaa zao na koo zao; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Wahesabu watu wa ukoo wa Kohathi, mmoja wa koo za Lawi, kufuatana na jamaa zao na koo zao; Neno: Bibilia Takatifu “Wahesabu Wakohathi walio sehemu ya Walawi kwa koo zao na jamaa zao. Neno: Maandiko Matakatifu “Wahesabu Wakohathi walio sehemu ya Walawi kwa koo zao na jamaa zao. BIBLIA KISWAHILI Katika wana wa Lawi uitenge hesabu ya wana wa Kohathi, kwa jamaa zao, na nyumba za baba zao, |
Na katika Kohathi ni jamaa ya Waamrami, na jamaa ya Waishari, na jamaa ya Wahebroni, na jamaa ya hao Wauzieli; hizo ni jamaa za Wakohathi.
tangu waliopata umri wa miaka thelathini na zaidi hata umri wa miaka hamsini, wote waingiao katika utumishi huo, ili kufanya kazi ya hema ya kukutania.