Wana wa Israeli wakasafiri kutoka Ramesesi mpaka Sukothi, walipata hesabu yao kama watu elfu mia sita wanaume waliokwenda kwa miguu, bila kuhesabu watoto.
Hesabu 33:5 - Swahili Revised Union Version Wana wa Israeli wakasafiri kutoka Ramesesi, wakapiga kambi katika Sukothi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Waisraeli waliondoka Ramesesi, wakapiga kambi yao huko Sukothi. Biblia Habari Njema - BHND Basi, Waisraeli waliondoka Ramesesi, wakapiga kambi yao huko Sukothi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Waisraeli waliondoka Ramesesi, wakapiga kambi yao huko Sukothi. Neno: Bibilia Takatifu Waisraeli waliondoka Ramesesi na kupiga kambi huko Sukothi. Neno: Maandiko Matakatifu Waisraeli waliondoka Ramesesi na kupiga kambi huko Sukothi. BIBLIA KISWAHILI Wana wa Israeli wakasafiri kutoka Ramesesi, wakapiga kambi katika Sukothi. |
Wana wa Israeli wakasafiri kutoka Ramesesi mpaka Sukothi, walipata hesabu yao kama watu elfu mia sita wanaume waliokwenda kwa miguu, bila kuhesabu watoto.