na Bela, mwana wa Azazi, mwana wa Shemaya, mwana wa Yoeli, aliyekaa huko Aroeri, hadi Nebo na Baal-meoni;
Hesabu 32:34 - Swahili Revised Union Version Kisha wana wa Gadi wakajenga Diboni, na Atarothi, na Aroeri; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kabila la Reubeni likaijenga miji ya Diboni, Atarothi, Aroeri, Biblia Habari Njema - BHND Kabila la Reubeni likaijenga miji ya Diboni, Atarothi, Aroeri, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kabila la Reubeni likaijenga miji ya Diboni, Atarothi, Aroeri, Neno: Bibilia Takatifu Wagadi wakajenga Diboni, Atarothi, Aroeri, Neno: Maandiko Matakatifu Wagadi wakajenga Diboni, Atarothi, Aroeri, BIBLIA KISWAHILI Kisha wana wa Gadi wakajenga Diboni, na Atarothi, na Aroeri; |
na Bela, mwana wa Azazi, mwana wa Shemaya, mwana wa Yoeli, aliyekaa huko Aroeri, hadi Nebo na Baal-meoni;
Miji ya Aroeri imeachwa; itakuwa mahali pa makundi ya kondoo, nao watajilaza huko wala hapana atakayewatia hofu.
na kutoka Bamothi wakaenda bondeni kwenye konde la Moabu, hata kilele cha Pisga, kielekeacho chini jangwani.
Tumewapigia mishale; Heshboni umepotea mpaka Diboni, Nasi tumeharibu mpaka Nofa, Ifikiayo Medeba.
Atarothi, na Diboni, na Yazeri, na Nimra, na Heshboni, na Eleale, na Sebamu, na Nebo na Beoni,
Kutoka Aroeri iliyo katika ukingo wa bonde la Arnoni, na huo mji ulio ndani ya bonde, mpaka kufika Gileadi, hapakuwa na mji uliokuwa na ngome ndefu ya kutushinda; BWANA, Mungu wetu, aliiweka wazi yote mbele yetu; ila nchi ya wana wa Amoni hukuisongelea;
Akawapiga kutoka Aroeri hadi kufikia Minithi, miji ishirini, na mpaka Abel-keramimu, akawapiga kwa pigo kuu mno. Basi hivyo wana wa Amoni walishindwa mbele ya wana wa Israeli.