Hesabu 21:30 - Swahili Revised Union Version30 Tumewapigia mishale; Heshboni umepotea mpaka Diboni, Nasi tumeharibu mpaka Nofa, Ifikiayo Medeba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Lakini sasa wazawa wao wameangamizwa, kutoka Heshboni mpaka Diboni, kutoka Nashimu mpaka Nofa, karibu na Medeba.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Lakini sasa wazawa wao wameangamizwa, kutoka Heshboni mpaka Diboni, kutoka Nashimu mpaka Nofa, karibu na Medeba.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Lakini sasa wazawa wao wameangamizwa, kutoka Heshboni mpaka Diboni, kutoka Nashimu mpaka Nofa, karibu na Medeba.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 “Lakini tumewashinda; Heshboni umeharibiwa hadi Diboni. Tumebomoa hadi kufikia Nofa, ulioenea hadi Medeba.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 “Lakini tumewashinda; Heshboni umeharibiwa hadi Diboni. Tumebomoa hadi kufikia Nofa, ulioenea hadi Medeba.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI30 Tumewapigia mishale; Heshboni umepotea mpaka Diboni, Nasi tumeharibu mpaka Nofa, Ifikiayo Medeba. Tazama sura |