Ndipo wana wa Gadi na wana wa Reubeni wakanena na Musa, na kumwambia, Sisi watumishi wako tutafanya kama wewe bwana wangu utuagizavyo.
Hesabu 32:26 - Swahili Revised Union Version Watoto wetu, na wake wetu, na kondoo wetu, na ng'ombe wetu wote, watakuwa hapo katika miji ya Gileadi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wake zetu, watoto wetu na kondoo na ng'ombe, watabaki hapa katika miji ya Gileadi. Biblia Habari Njema - BHND Wake zetu, watoto wetu na kondoo na ng'ombe, watabaki hapa katika miji ya Gileadi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wake zetu, watoto wetu na kondoo na ng'ombe, watabaki hapa katika miji ya Gileadi. Neno: Bibilia Takatifu Watoto na wake zetu, makundi ya mbuzi na kondoo, na makundi ya ng’ombe wetu, watabaki hapa katika miji ya Gileadi. Neno: Maandiko Matakatifu Watoto na wake zetu, makundi ya mbuzi na kondoo, na makundi ya ng’ombe zetu, watabaki hapa katika miji ya Gileadi. BIBLIA KISWAHILI Watoto wetu, na wake zetu, na kondoo wetu, na ng'ombe wetu wote, watakuwa hapo katika miji ya Gileadi; |
Ndipo wana wa Gadi na wana wa Reubeni wakanena na Musa, na kumwambia, Sisi watumishi wako tutafanya kama wewe bwana wangu utuagizavyo.
Lakini wake wenu na watoto wenu, na wanyama wenu wa mji, (nawajua kwamba mna wanyama wengi), na wakae katika miji yenu niliyowapa;
Wake zenu, na watoto wenu, na makundi yenu, watakaa katika nchi aliyowapa Musa ng'ambo ya Yordani; bali ninyi mtawatangulia ndugu zenu kuvuka, mkiwa mmevaa silaha zenu, watu wote wenye nguvu, na ushujaa, ili mpate kuwasaidia;
Basi wana wa Reubeni, na wana wa Gadi, na hiyo nusu ya kabila la Manase wakarudi, wakatoka kwa wana wa Israeli katika Shilo, ulioko nchi ya Kanaani, ili waende nchi ya Gileadi, hiyo nchi ya milki yao, waliyokuwa wanaimiliki, sawasawa na amri ya BWANA kwa mkono wa Musa.