Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 32:25 - Swahili Revised Union Version

25 Ndipo wana wa Gadi na wana wa Reubeni wakanena na Musa, na kumwambia, Sisi watumishi wako tutafanya kama wewe bwana wangu utuagizavyo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Kisha, watu wa Gadi na wa Reubeni wakamwambia Mose, “Sisi watumishi wako tutafanya kama ulivyotuamuru.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Kisha, watu wa Gadi na wa Reubeni wakamwambia Mose, “Sisi watumishi wako tutafanya kama ulivyotuamuru.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Kisha, watu wa Gadi na wa Reubeni wakamwambia Mose, “Sisi watumishi wako tutafanya kama ulivyotuamuru.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Wagadi na Wareubeni wakamwambia Musa, “Sisi watumishi wako tutafanya kama bwana wetu anavyotuagiza.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Wagadi na Wareubeni wakamwambia Musa, “Sisi watumishi wako tutafanya kama bwana wetu anavyotuagiza.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

25 Ndipo wana wa Gadi na wana wa Reubeni wakanena na Musa, na kumwambia, Sisi watumishi wako tutafanya kama wewe bwana wetu utuagizavyo.

Tazama sura Nakili

Hesabu 32:25
4 Marejeleo ya Msalaba  

Basi, jengeni miji kwa ajili ya watoto wenu, na mazizi kwa ajili ya kondoo zenu; mkayafanye hayo mliotamka kwa vinywa vyenu.

Watoto wetu, na wake wetu, na kondoo wetu, na ng'ombe wetu wote, watakuwa hapo katika miji ya Gileadi;

Wakamjibu Yoshua, wakasema, Hayo yote uliyotuamuru tutayafanya, na kila mahali utakakotutuma tutakwenda.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo