Hesabu 32:26 - Swahili Revised Union Version26 Watoto wetu, na wake wetu, na kondoo wetu, na ng'ombe wetu wote, watakuwa hapo katika miji ya Gileadi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Wake zetu, watoto wetu na kondoo na ng'ombe, watabaki hapa katika miji ya Gileadi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Wake zetu, watoto wetu na kondoo na ng'ombe, watabaki hapa katika miji ya Gileadi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Wake zetu, watoto wetu na kondoo na ng'ombe, watabaki hapa katika miji ya Gileadi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Watoto na wake zetu, makundi ya mbuzi na kondoo, na makundi ya ng’ombe wetu, watabaki hapa katika miji ya Gileadi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Watoto na wake zetu, makundi ya mbuzi na kondoo, na makundi ya ng’ombe zetu, watabaki hapa katika miji ya Gileadi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Watoto wetu, na wake zetu, na kondoo wetu, na ng'ombe wetu wote, watakuwa hapo katika miji ya Gileadi; Tazama sura |