Vyombo vyote vya maskani vitumiwavyo katika utumishi wake wote, na vigingi vyake vyote, na vigingi vyote vya ule ua, vitakuwa vya shaba.
Hesabu 3:37 - Swahili Revised Union Version na nguzo za ua zilizouzunguka, na vitako yake, na vigingi vyake, na kamba zake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Pia walihitajika kutunza nguzo za ua zilizouzunguka na vitako vyake, vigingi na kamba zake. Biblia Habari Njema - BHND Pia walihitajika kutunza nguzo za ua zilizouzunguka na vitako vyake, vigingi na kamba zake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Pia walihitajika kutunza nguzo za ua zilizouzunguka na vitako vyake, vigingi na kamba zake. Neno: Bibilia Takatifu na pia nguzo za ua unaozunguka pamoja na vitako vyake, vigingi vya hema na kamba zake. Neno: Maandiko Matakatifu na pia nguzo za ua unaozunguka pamoja na vitako vyake, vigingi vya hema na kamba zake. BIBLIA KISWAHILI na nguzo za ua zilizouzunguka, na vitako vyake, na vigingi vyake, na kamba zake. |
Vyombo vyote vya maskani vitumiwavyo katika utumishi wake wote, na vigingi vyake vyote, na vigingi vyote vya ule ua, vitakuwa vya shaba.
Na usimamizi walioamriwa wana wa Merari ulikuwa ni kutunza mbao za maskani, na mataruma yake, na nguzo zake, na vitako vyake, na vyombo vyake vyote, na utumishi wake wote;
Na hao watakaopanga mbele ya maskani upande wa mashariki, mbele ya hema ya kukutania upande wa kuelekea maawio ya jua, watakuwa hawa, Musa na Haruni na wanawe, wenye kulinda ulinzi wa mahali patakatifu, yaani, huo ulinzi wa wana wa Israeli; na mgeni atakayekaribia atauawa.