Hesabu 26:27 - Swahili Revised Union Version Hawa ndio jamaa wa Wazabuloni kama waliohesabiwa kwao, elfu sitini na mia tano. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hizo ndizo koo za Zebuluni, jumla wanaume 60,500. Biblia Habari Njema - BHND Hizo ndizo koo za Zebuluni, jumla wanaume 60,500. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hizo ndizo koo za Zebuluni, jumla wanaume 60,500. Neno: Bibilia Takatifu Hizo zilikuwa koo za Zabuloni; wale waliohesabiwa walikuwa elfu sitini na mia tano. Neno: Maandiko Matakatifu Hizi ndizo zilizokuwa koo za Zabuloni, wale waliohesabiwa walikuwa 60,500. BIBLIA KISWAHILI Hawa ndio jamaa wa Wazabuloni kama waliohesabiwa kwao, elfu sitini na mia tano. |