wa Yashubu, jamaa ya Wayashubu; wa Shimroni, jamaa ya Washimroni.
Yashubu na wa Shimroni.
kutoka kwa Yashubu, ukoo wa Wayashubu; kutoka kwa Shimroni, ukoo wa Washimroni.
Na wana wa Isakari; Tola, na Puva, na Yashubu, na Shimroni.
Na wana wa Isakari kwa jamaa zao; wa Tola, jamaa ya Watola; wa Puva, jamaa ya Wapuva;
Hawa ndio jamaa wa Isakari kama waliohesabiwa kwao, elfu sitini na nne na mia tatu.