Na wana wa Simeoni; Yemueli na Yamini, na Ohadi, na Yakini, na Sohari, na Shauli, mwana wa mwanamke Mkanaani.
Hesabu 26:13 - Swahili Revised Union Version wa Sohari, jamaa ya Wasohari; wa Shauli, jamaa ya Washauli. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Zera na Shauli. Biblia Habari Njema - BHND Zera na Shauli. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Zera na Shauli. Neno: Bibilia Takatifu kutoka kwa Zera, ukoo wa Wazera; kutoka kwa Shauli, ukoo wa Washauli. Neno: Maandiko Matakatifu kutoka kwa Zera, ukoo wa Wazera; kutoka kwa Shauli, ukoo wa Washauli. BIBLIA KISWAHILI wa Sohari, jamaa ya Wasohari; wa Shauli, jamaa ya Washauli. |
Na wana wa Simeoni; Yemueli na Yamini, na Ohadi, na Yakini, na Sohari, na Shauli, mwana wa mwanamke Mkanaani.
Kamanda wa nane wa mwezi wa nane alikuwa Sibekai, Mhushathi, wa Wazera; na katika zamu yake walikuwa watu elfu ishirini na nne.
Kamanda wa kumi wa mwezi wa kumi alikuwa Maharai, Mnetofathi, wa Wazera; na katika zamu yake walikuwa watu elfu ishirini na nne.
Na wana wa Simeoni kwa jamaa zao; wa Yemueli, jamaa ya Wayemueli; wa Yamini, jamaa ya Wayamini; na Yakini, jamaa ya Wayakini;
Akazisongeza jamaa za Yuda, akaitwaa jamaa ya Wazera; akaisongeza jamaa ya Wazera mtu kwa mtu; Zabdi akatwaliwa.