Balaamu akajibu akawaambia watumishi wa Balaki, Hata kama Balaki angenipa nyumba yake imejaa fedha na dhahabu, siwezi kukiuka neno la BWANA, Mungu wangu, kulipunguza au kuliongeza.
Hesabu 24:12 - Swahili Revised Union Version Balaamu akamwambia Balaki, Je! Sikuwaambia wajumbe wako ulionitumia, nikisema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Balaamu akamjibu Balaki, “Je, sikuwaambia wajumbe uliowatuma kwangu Biblia Habari Njema - BHND Balaamu akamjibu Balaki, “Je, sikuwaambia wajumbe uliowatuma kwangu Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Balaamu akamjibu Balaki, “Je, sikuwaambia wajumbe uliowatuma kwangu Neno: Bibilia Takatifu Balaamu akamwambia Balaki, “Je, hukumbuki jinsi nilivyowaambia wajumbe uliowatuma kwangu? Niliwaambia hivi, Neno: Maandiko Matakatifu Balaamu akamwambia Balaki, “Je, hukumbuki jinsi nilivyowaambia wajumbe uliowatuma kwangu? Niliwaambia hivi, BIBLIA KISWAHILI Balaamu akamwambia Balaki, Je! Sikuwaambia wajumbe wako ulionitumia, nikisema, |
Balaamu akajibu akawaambia watumishi wa Balaki, Hata kama Balaki angenipa nyumba yake imejaa fedha na dhahabu, siwezi kukiuka neno la BWANA, Mungu wangu, kulipunguza au kuliongeza.
Balaamu akamwambia Balaki, Tazama, nimekujia. Je! Mimi sasa nina uwezo wowote kusema neno lolote? Neno lile Mungu atakalolitia kinywani mwangu, ndilo nitakalolisema.
Basi sasa kimbilia mahali pako; niliazimu kukuheshimu sana; lakini, tazama, BWANA amekuzuilia heshima.