Hesabu 21:17 - Swahili Revised Union Version Ndipo Israeli wakaimba wimbo huu; Bubujika Ee kisima; kiimbieni; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hapo Waisraeli waliimba wimbo huu: “Bubujika maji ee kisima! – Kiimbieni! Biblia Habari Njema - BHND Hapo Waisraeli waliimba wimbo huu: “Bubujika maji ee kisima! – Kiimbieni! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hapo Waisraeli waliimba wimbo huu: “Bubujika maji ee kisima! — Kiimbieni! Neno: Bibilia Takatifu Kisha Israeli akaimba wimbo huu: “Bubujika, ee kisima! Imba kuhusu maji, Neno: Maandiko Matakatifu Kisha Israeli akaimba wimbo huu: “Bubujika, ee kisima! Imba kuhusu maji, BIBLIA KISWAHILI Ndipo Israeli wakaimba wimbo huu; Bubujika Ee kisima; kiimbieni; |
Kisima walichokichimba wakuu, Ambacho wakuu wa watu wakakifukua, Kwa fimbo za enzi, kwa fimbo zao. Kutoka lile jangwa wakaenda Matana;
Kuna mtu miongoni mwenu anayeteseka? Na aombe. Ana moyo wa kuchangamka? Na aimbe zaburi.