Wakambariki Rebeka, wakamwambia, Dada yetu, wewe uwe mama wa elfu kumi, mara elfu nyingi, na wazao wako waurithi mlango wa hao wawachukiao.
Hesabu 10:36 - Swahili Revised Union Version Tena hapo liliposimama, akasema, Ee BWANA, uwarudie maelfu kumi ya maelfu ya Israeli. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Na kila wakati liliposimama, Mose alisema, “Warudie, ee Mwenyezi-Mungu, hawa maelfu na maelfu ya Israeli.” Biblia Habari Njema - BHND Na kila wakati liliposimama, Mose alisema, “Warudie, ee Mwenyezi-Mungu, hawa maelfu na maelfu ya Israeli.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Na kila wakati liliposimama, Mose alisema, “Warudie, ee Mwenyezi-Mungu, hawa maelfu na maelfu ya Israeli.” Neno: Bibilia Takatifu Wakati wowote Sanduku liliposimama, alisema, “Ee Mwenyezi Mungu, rudi, kwa maelfu ya Waisraeli wasiohesabika.” Neno: Maandiko Matakatifu Wakati wowote Sanduku liliposimama, alisema, “Ee bwana, rudi, kwa maelfu ya Waisraeli wasiohesabika.” BIBLIA KISWAHILI Tena hapo liliposimama, akasema, Ee BWANA, uwarudie maelfu kumi ya maelfu ya Israeli. |
Wakambariki Rebeka, wakamwambia, Dada yetu, wewe uwe mama wa elfu kumi, mara elfu nyingi, na wazao wako waurithi mlango wa hao wawachukiao.
Ee BWANA, mbona umetukosesha njia zako, ukatufanya kuwa na mioyo migumu hata tusikuogope? Urudi kwa ajili ya watumishi wako, makabila ya urithi wako.
BWANA, Mungu wenu, amewafanya kuwa wengi, nanyi, angalieni, mmekuwa leo mfano wa nyota za mbinguni kwa wingi.