Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 10:36 - Swahili Revised Union Version

36 Tena hapo liliposimama, akasema, Ee BWANA, uwarudie maelfu kumi ya maelfu ya Israeli.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Na kila wakati liliposimama, Mose alisema, “Warudie, ee Mwenyezi-Mungu, hawa maelfu na maelfu ya Israeli.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Na kila wakati liliposimama, Mose alisema, “Warudie, ee Mwenyezi-Mungu, hawa maelfu na maelfu ya Israeli.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Na kila wakati liliposimama, Mose alisema, “Warudie, ee Mwenyezi-Mungu, hawa maelfu na maelfu ya Israeli.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 Wakati wowote Sanduku liliposimama, alisema, “Ee Mwenyezi Mungu, rudi, kwa maelfu ya Waisraeli wasiohesabika.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 Wakati wowote Sanduku liliposimama, alisema, “Ee bwana, rudi, kwa maelfu ya Waisraeli wasiohesabika.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

36 Tena hapo liliposimama, akasema, Ee BWANA, uwarudie maelfu kumi ya maelfu ya Israeli.

Tazama sura Nakili

Hesabu 10:36
5 Marejeleo ya Msalaba  

Wakambariki Rebeka, wakamwambia, Dada yetu, wewe uwe mama wa elfu kumi, mara elfu nyingi, na wazao wako waurithi mlango wa hao wawachukiao.

Ee BWANA, uinuke, uende kwenye raha yako, Wewe na sanduku la nguvu zako.

Ee BWANA, mbona umetukosesha njia zako, ukatufanya kuwa na mioyo migumu hata tusikuogope? Urudi kwa ajili ya watumishi wako, makabila ya urithi wako.

BWANA, Mungu wenu, amewafanya kuwa wengi, nanyi, angalieni, mmekuwa leo mfano wa nyota za mbinguni kwa wingi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo