Hesabu 10:24 - Swahili Revised Union Version Tena juu ya jeshi la kabila la wana wa Benyamini ni Abidani mwana wa Gideoni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema naye Abidani mwana wa Gideoni, aliliongoza kabila la Benyamini. Biblia Habari Njema - BHND naye Abidani mwana wa Gideoni, aliliongoza kabila la Benyamini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza naye Abidani mwana wa Gideoni, aliliongoza kabila la Benyamini. Neno: Bibilia Takatifu naye Abidani mwana wa Gideoni alikuwa kiongozi wa kikosi cha kabila la Benyamini. Neno: Maandiko Matakatifu naye Abidani mwana wa Gideoni alikuwa kiongozi wa kikosi cha kabila la Benyamini. BIBLIA KISWAHILI Tena juu ya jeshi la kabila la wana wa Benyamini ni Abidani mwana wa Gideoni. |
Kisha beramu ya kambi ya wana wa Dani, ambayo ilikuwa ni nyuma ya makambi yote, ikasafiri, kwa majeshi yao; na juu ya jeshi lake ni Ahiezeri mwana wa Amishadai.