Kwanza namshukuru Mungu wangu katika Yesu Kristo kwa ajili yenu nyote, kwa kuwa imani yenu inahubiriwa kote duniani.
Filemoni 1:4 - Swahili Revised Union Version Namshukuru Mungu wangu sikuzote, nikikukumbuka katika maombi yangu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kila wakati ninaposali, nakukumbuka wewe Filemoni, na kumshukuru Mungu, Biblia Habari Njema - BHND Kila wakati ninaposali, nakukumbuka wewe Filemoni, na kumshukuru Mungu, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kila wakati ninaposali, nakukumbuka wewe Filemoni, na kumshukuru Mungu, Neno: Bibilia Takatifu Siku zote ninamshukuru Mungu wangu ninapokukumbuka katika maombi yangu, Neno: Maandiko Matakatifu Siku zote ninamshukuru Mwenyezi Mungu ninapokukumbuka katika maombi yangu, BIBLIA KISWAHILI Namshukuru Mungu wangu siku zote, nikikukumbuka katika maombi yangu; |
Kwanza namshukuru Mungu wangu katika Yesu Kristo kwa ajili yenu nyote, kwa kuwa imani yenu inahubiriwa kote duniani.
Ndugu, imetupasa kumshukuru Mungu sikuzote kwa ajili yenu, kama ilivyo wajibu, kwa kuwa imani yenu inazidi sana, na upendo wa kila mtu kwenu kwa mwenzake umekuwa mwingi.
Namshukuru Mungu, nimwabuduye kwa dhamiri safi tangu zamani za wazee wangu, kama vile nikukumbukavyo wewe daima, katika kuomba kwangu usiku na mchana.
nikisikia habari za upendo wako na imani uliyo nayo kwa Bwana Yesu na kwa watakatifu wote;