Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Filemoni 1:4 - BIBLIA KISWAHILI

4 Namshukuru Mungu wangu siku zote, nikikukumbuka katika maombi yangu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Kila wakati ninaposali, nakukumbuka wewe Filemoni, na kumshukuru Mungu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Kila wakati ninaposali, nakukumbuka wewe Filemoni, na kumshukuru Mungu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Kila wakati ninaposali, nakukumbuka wewe Filemoni, na kumshukuru Mungu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Siku zote ninamshukuru Mungu wangu ninapokukumbuka katika maombi yangu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Siku zote ninamshukuru Mwenyezi Mungu ninapokukumbuka katika maombi yangu,

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

4 Kila wakati ninaposali, nakukumbuka wewe Filemoni, na kumshukuru Mungu,

Tazama sura Nakili




Filemoni 1:4
8 Marejeleo ya Msalaba  

Kwanza namshukuru Mungu wangu katika Yesu Kristo kwa ajili yenu nyote, kwa kuwa imani yenu inahubiriwa kote duniani.


siachi kutoa shukrani kwa ajili yenu; nikiwakumbuka katika sala zangu,


Namshukuru Mungu wangu kila niwakumbukapo,


Twamshukuru Mungu, Baba yake Bwana wetu Yesu Kristo, siku zote tukiwaombea;


Twamshukuru Mungu siku zote kwa ajili yenu nyote, tukiwataja katika maombi yetu.


Ndugu, imetupasa kumshukuru Mungu siku zote kwa ajili yenu, kama ilivyo wajibu, kwa kuwa imani yenu inazidi sana, na upendo wa kila mtu kwenu kwa mwenzake umekuwa mwingi.


Namshukuru Mungu, nimwabuduye kwa dhamiri safi tangu zamani za wazee wangu, kama vile nikukumbukavyo wewe daima, katika kuomba kwangu usiku na mchana.


nikisikia habari za upendo wako na imani uliyo nayo kwa Bwana Yesu na kwa watakatifu wote;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo