Waefeso 1:16 - Swahili Revised Union Version16 siachi kutoa shukrani kwa ajili yenu; nikiwakumbuka katika sala zangu, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 sijaacha kamwe kumshukuru Mungu kwa ajili yenu. Ninawakumbuka katika sala zangu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 sijaacha kamwe kumshukuru Mungu kwa ajili yenu. Ninawakumbuka katika sala zangu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 sijaacha kamwe kumshukuru Mungu kwa ajili yenu. Ninawakumbuka katika sala zangu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 sijaacha kumshukuru Mungu kwa ajili yenu, nikiwakumbuka katika maombi yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 sijaacha kumshukuru Mungu kwa ajili yenu, nikiwakumbuka katika maombi yangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 siachi kutoa shukrani kwa ajili yenu; nikiwakumbuka katika sala zangu, Tazama sura |