Filemoni 1:3 - Swahili Revised Union Version3 Neema na iwe kwenu, na amani, zitokazo kwa Mungu, Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Tunawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Tunawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Tunawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Neema na amani zitokazo kwa Mungu, Baba yetu, na kwa Bwana wetu Isa Al-Masihi ziwe nanyi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Neema iwe nanyi na amani itokayo kwa Mwenyezi Mungu Baba yetu na Bwana Isa Al-Masihi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Neema na iwe kwenu, na amani, zitokazo kwa Mungu, Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo. Tazama sura |