Filemoni 1:2 - Swahili Revised Union Version2 na kwa Afia, dada yetu, na kwa Arkipo askari mwenzetu, na kwa kanisa lililo katika nyumba yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 na kanisa linalokutana nyumbani kwako, na wewe dada Afia, na askari mwenzetu Arkipo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 na kanisa linalokutana nyumbani kwako, na wewe dada Afia, na askari mwenzetu Arkipo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 na kanisa linalokutana nyumbani kwako, na wewe dada Afia, na askari mwenzetu Arkipo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 kwa dada yetu mpendwa Afia, kwa Arkipo askari mwenzetu na kwa kundi la waumini wanaokutana nyumbani mwako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 kwa dada yetu mpendwa Afia, kwa Arkipo askari mwenzetu na kwa kundi la waumini lile likutanalo nyumbani mwako: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 na kwa Afia, dada yetu, na kwa Arkipo askari mwenzetu, na kwa kanisa lililo katika nyumba yako. Tazama sura |