Na mtumwa yule asiyefaa, mtupeni mbali katika giza la nje; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.
Filemoni 1:11 - Swahili Revised Union Version ambaye zamani alikuwa hakufai, bali sasa akufaa sana, wewe na mimi pia; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ni Onesimo yuleyule ambaye wakati mmoja alikuwa hakufai kitu, lakini sasa ananifaa mimi na wewe pia. Biblia Habari Njema - BHND Ni Onesimo yuleyule ambaye wakati mmoja alikuwa hakufai kitu, lakini sasa ananifaa mimi na wewe pia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ni Onesimo yuleyule ambaye wakati mmoja alikuwa hakufai kitu, lakini sasa ananifaa mimi na wewe pia. Neno: Bibilia Takatifu Mwanzoni alikuwa hakufai, lakini sasa anakufaa sana wewe na mimi pia. Neno: Maandiko Matakatifu Mwanzoni alikuwa hakufai, lakini sasa anakufaa sana wewe na mimi pia. BIBLIA KISWAHILI ambaye zamani alikuwa hakufai, bali sasa akufaa sana, wewe na mimi pia; |
Na mtumwa yule asiyefaa, mtupeni mbali katika giza la nje; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.
kwa kuwa huyu mwanangu alikuwa amekufa, naye amefufuka; alikuwa amepotea, naye ameonekana. Wakaanza kushangilia.
Bali ilibidi kusherehekea na kushangilia kwa kuwa huyu ndugu yako alikuwa amekufa, naye amefufuka; alikuwa amepotea, naye ameonekana.
Vivyo hivyo nanyi, mtakapokwisha kuyafanya yote mliyoagizwa, semeni, Sisi tu watumwa wasio na faida; tumefanya tu yaliyotupasa kufanya.
Luka peke yake yupo hapa pamoja nami. Umtwae Marko, umlete pamoja nawe, maana anifaa kwa utumishi.
ninyi mliokuwa kwanza si taifa, bali sasa ni taifa la Mungu; mliokuwa hamkupata rehema, bali sasa mmepata rehema.