2 Timotheo 4:11 - Swahili Revised Union Version11 Luka peke yake yupo hapa pamoja nami. Umtwae Marko, umlete pamoja nawe, maana anifaa kwa utumishi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Luka peke yake ndiye aliye hapa pamoja nami. Mpate Marko uje naye, kwa maana ataweza kunisaidia katika kazi yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Luka peke yake ndiye aliye hapa pamoja nami. Mpate Marko uje naye, kwa maana ataweza kunisaidia katika kazi yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Luka peke yake ndiye aliye hapa pamoja nami. Mpate Marko uje naye, kwa maana ataweza kunisaidia katika kazi yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Ni Luka pekee aliye hapa nami. Mtafute Marko uje naye, kwa sababu ananifaa sana katika huduma yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Ni Luka peke yake aliye hapa pamoja nami. Mtafute Marko uje naye kwa sababu ananifaa sana katika huduma yangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Luka peke yake yupo hapa pamoja nami. Umtwae Marko, umlete pamoja nawe, maana ananifaa kwa utumishi. Tazama sura |