Ezra 8:6 - Swahili Revised Union Version Na wa wana wa Adini, Ebedi, mwana wa Yonathani; na pamoja naye wanaume hamsini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ebedi, mwana wa Yonathani, wa ukoo wa Adini, pamoja na wanaume 50. Biblia Habari Njema - BHND Ebedi, mwana wa Yonathani, wa ukoo wa Adini, pamoja na wanaume 50. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ebedi, mwana wa Yonathani, wa ukoo wa Adini, pamoja na wanaume 50. Neno: Bibilia Takatifu wa wazao wa Adini, alikuwa Ebedi mwana wa Yonathani na wanaume hamsini; Neno: Maandiko Matakatifu wa wazao wa Adini, alikuwa Ebedi mwana wa Yonathani na wanaume 50 pamoja naye; BIBLIA KISWAHILI Na wa wana wa Adini, Ebedi, mwana wa Yonathani; na pamoja naye wanaume hamsini. |