Basi Walawi wakamwagiza Hemani mwana wa Yoeli; na wa nduguze, Asafu mwana wa Berekia; na wa wana wa Merari ndugu zao, Ethani mwana wa Kishi;
Ezra 2:41 - Swahili Revised Union Version Waimbaji; wazawa wa Asafu, mia moja ishirini na wanane. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Waimbaji (wazawa wa Asafu), walikuwa 128. Biblia Habari Njema - BHND Waimbaji (wazawa wa Asafu), walikuwa 128. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Waimbaji (wazawa wa Asafu), walikuwa 128. Neno: Bibilia Takatifu Waimbaji: wazao wa Asafu, mia moja ishirini na nane (128). Neno: Maandiko Matakatifu Waimbaji: BIBLIA KISWAHILI Waimbaji; wana wa Asafu, mia moja ishirini na wanane. |
Basi Walawi wakamwagiza Hemani mwana wa Yoeli; na wa nduguze, Asafu mwana wa Berekia; na wa wana wa Merari ndugu zao, Ethani mwana wa Kishi;
Na nduguye Asafu, aliyesimama upande wake wa kulia, huyo Asafu alikuwa mwana wa Berekia, mwana wa Shimea;
Akina bawabu; wazawa wa Shalumu, wazawa wa Ateri, wazawa wa Talmoni, wazawa wa Akubu, wazawa wa Hatita, wazawa wa Shobai; jumla yao ni mia moja thelathini na tisa.
Hata wajenzi walipouweka msingi wa hekalu la BWANA, wakawaweka makuhani, wamevaa mavazi yao, wenye baragumu, na Walawi, wana wa Asafu, wenye matoazi, ili wamhimidi BWANA, kama alivyoagiza Daudi, mfalme wa Israeli.
na Matania, mwana wa Mika, mwana wa Zikri, mwana wa Asafu, mkuu wa kuanzisha shukrani katika sala, na Bakbukia, wa pili wake miongoni mwa nduguze; na Obadia, mwana wa Shemaya, mwana wa Galali, mwana wa Yeduthuni.