Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Ezra 2:42 - Swahili Revised Union Version

42 Akina bawabu; wazawa wa Shalumu, wazawa wa Ateri, wazawa wa Talmoni, wazawa wa Akubu, wazawa wa Hatita, wazawa wa Shobai; jumla yao ni mia moja thelathini na tisa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

42 Walinzi (wazawa wa Shalumu, wa Ateri, wa Talmoni, wa Akubu, wa Hatita na wa Shobai), walikuwa 139.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

42 Walinzi (wazawa wa Shalumu, wa Ateri, wa Talmoni, wa Akubu, wa Hatita na wa Shobai), walikuwa 139.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

42 Walinzi (wazawa wa Shalumu, wa Ateri, wa Talmoni, wa Akubu, wa Hatita na wa Shobai), walikuwa 139.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

42 Mabawabu wa lango la Hekalu: wazao wa Shalumu, Ateri, Talmoni, Akubu, Hatita na Shobai, mia moja thelathini na tisa (139).

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

42 Mabawabu wa lango la Hekalu:

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

42 Akina bawabu; wana wa Shalumu, wana wa Ateri, wana wa Talmoni, wana wa Akubu, wana wa Hatita, wana wa Shobai; jumla yao ni mia moja thelathini na tisa.

Tazama sura Nakili




Ezra 2:42
7 Marejeleo ya Msalaba  

Basi wakaenda, wakawaita mabawabu wa mji; wakawaambia, Tulifika kituo cha Washami, na tazama, hapana mtu yeyote huko, wala sauti ya mtu, ila farasi wamefungwa, na punda wamefungwa, na hema zao kama walivyoziacha.


Huyo Shelomothi na ndugu zake walikuwa wasimamizi wa hazina zote za vitu vilivyowekwa wakfu, alivyoviweka wakfu mfalme Daudi, na hao wakuu wa koo za mababa, na maofisa wa maelfu na wa mamia, na makamanda wa jeshi.


Na katika mabawabu; Shalumu, na Akubu, na Talmoni, na Ahimani, na ndugu zao; naye Shalumu alikuwa mkuu wao;


Waimbaji; wazawa wa Asafu, mia moja ishirini na wanane.


Wanethini; wazawa wa Siha, wazawa wa Hasufa, wazawa wa Tabaothi;


Mabawabu; Wana wa Shalumu, wana wa Ateri, wana wa Talmoni, wana wa Akubu, wana wa Hatita, wana wa Shobai, mia moja thelathini na wanane.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo