Wazawa wa Azgadi, elfu moja mia mbili ishirini na wawili.
wa ukoo wa Azgadi: 1,222;
wazao wa Azgadi, elfu moja mia mbili ishirini na wawili (1,222);
Wana wa Azgadi, elfu moja mia mbili ishirini na wawili.
Wazawa wa Bebai, mia sita ishirini na watatu.
Wazawa wa Adonikamu, mia sita sitini na sita.
Na wa wana wa Azgadi, Yohana, mwana wa Hakatani; na pamoja naye wanaume mia moja na kumi.
Wana wa Azgadi, elfu mbili mia tatu ishirini na wawili.