Nikamwambia mfalme, Mfalme na aishi milele; kwani uso wangu usiwe na huzuni, iwapo mji, ulio mahali pa makaburi ya baba zangu, unakaa ukiwa, na malango yake yameteketezwa kwa moto?
Danieli 6:21 - Swahili Revised Union Version Ndipo Danieli akamwambia mfalme, Ee mfalme, uishi milele. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Danieli akamjibu mfalme, “Uishi, ee mfalme! Biblia Habari Njema - BHND Danieli akamjibu mfalme, “Uishi, ee mfalme! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Danieli akamjibu mfalme, “Uishi, ee mfalme! Neno: Bibilia Takatifu Danieli akajibu, “Ee mfalme, uishi milele! Neno: Maandiko Matakatifu Danieli akajibu, “Ee mfalme, uishi milele! Swahili Roehl Bible 1937 Ndipo, Danieli alipomjibu mfalme: Wewe mfalme, na uwe mwenye uzima kale na kale! |
Nikamwambia mfalme, Mfalme na aishi milele; kwani uso wangu usiwe na huzuni, iwapo mji, ulio mahali pa makaburi ya baba zangu, unakaa ukiwa, na malango yake yameteketezwa kwa moto?
Ndipo hao Wakaldayo wakamwambia mfalme, kwa lugha ya Kiaramu, Ee Mfalme, uishi milele; tuambie sisi watumishi wako ile ndoto, nasi tutakuonesha tafsiri yake.
Kisha Nebukadneza akaukaribia mlango wa lile tanuri lililokuwa linawaka moto. Akanena, akasema, Enyi Shadraka, na Meshaki, na Abednego, watumishi wa Mungu Aliye Juu, tokeni, mje huku. Ndipo Shadraka, na Meshaki, na Abednego, wakatoka katika ule moto.
Basi wale mawaziri na viongozi wakakusanyika pamoja mbele ya mfalme, wakamwambia hivi, Mfalme Dario, uishi milele.