Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Danieli 3:9 - Swahili Revised Union Version

9 Wakajibu, wakamwambia mfalme Nebukadneza, Ee mfalme, uishi milele.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 “Uishi, ee mfalme!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 “Uishi, ee mfalme!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 “Uishi, ee mfalme!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Wakamwambia Mfalme Nebukadneza, “Ee mfalme, uishi milele!

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Wakamwambia Mfalme Nebukadneza, “Ee mfalme, uishi milele!

Tazama sura Nakili

Swahili Roehl Bible 1937

9 wakamwambia mfalme Nebukadinesari hivyo: E mfalme, na uwe mwenye uzima kale na kale!

Tazama sura Nakili




Danieli 3:9
7 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo Bathsheba akainama kifudifudi, akamsujudia mfalme, akasema, Bwana wangu mfalme Daudi na aishi milele.


Ndipo hao Wakaldayo wakamwambia mfalme, kwa lugha ya Kiaramu, Ee Mfalme, uishi milele; tuambie sisi watumishi wako ile ndoto, nasi tutakuonesha tafsiri yake.


Basi malkia, kwa sababu ya maneno ya mfalme na ya wakuu wake, akaingia katika nyumba ya karamu; malkia akanena, akasema, Ee mfalme, uishi milele; fikira zako zisikufadhaishe; wala uso wako usibadilike.


Ndipo Danieli akamwambia mfalme, Ee mfalme, uishi milele.


Basi wale mawaziri na viongozi wakakusanyika pamoja mbele ya mfalme, wakamwambia hivi, Mfalme Dario, uishi milele.


Wapeni wote haki zao; mtu wa kodi, kodi; mtu wa ushuru, ushuru; astahiliye hofu, hofu; astahiliye heshima, heshima.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo