Je! Watawala waovu wanaweza kushirikiana nawe, Wale watungao madhara kwa njia ya sheria?
Danieli 2:13 - Swahili Revised Union Version Basi ile amri ikatangazwa, na hao wenye hekima walikuwa karibu na kuuawa; watu wakamtafuta Danieli na wenzake ili wauawe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, tangazo likaenea kuwa wenye hekima wote wauawe; Danieli na wenzake, nao pia wakatafutwa ili wauawe. Biblia Habari Njema - BHND Basi, tangazo likaenea kuwa wenye hekima wote wauawe; Danieli na wenzake, nao pia wakatafutwa ili wauawe. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, tangazo likaenea kuwa wenye hekima wote wauawe; Danieli na wenzake, nao pia wakatafutwa ili wauawe. Neno: Bibilia Takatifu Hivyo amri ikatolewa ya kuwaua wenye hekima, nao watu wakatumwa kuwatafuta Danieli na rafiki zake ili wawaue. Neno: Maandiko Matakatifu Hivyo amri ikatolewa ya kuwaua wenye hekima, nao watu wakatumwa kuwatafuta Danieli na rafiki zake ili wawaue. Swahili Roehl Bible 1937 Amri hiyo ya kuwaua wajuzi ilipokwisha kutoka, wakamtafuta naye Danieli na wenziwe, wauawe. |
Je! Watawala waovu wanaweza kushirikiana nawe, Wale watungao madhara kwa njia ya sheria?
Basi Danieli akaenda kwa Arioko, aliyewekwa na mfalme kuwaangamiza wenye hekima wa Babeli; alikwenda akamwambia hivi, Usiwaangamize wenye hekima wa Babeli; niingize mimi mbele ya mfalme, nami nitamwonesha mfalme ile tafsiri.
na kwa sababu ya ule ukuu aliompa, watu wa kabila zote, na mataifa, na lugha, wakatetemeka na kuogopa mbele yake; aliyetaka kumwua alimwua; na aliyetaka kumwacha hai, alimwacha hai; aliyetaka kumtukuza, alimtukuza; na aliyetaka kumshusha, alimshusha.