Wametekwa wenye moyo thabiti; Wamelala usingizi; Wala hawakuiona mikono yao Watu wote walio hodari.
Amosi 2:16 - Swahili Revised Union Version Naye mwenye moyo mkuu miongoni mwa mashujaa Atakimbia uchi siku ile, asema BWANA. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Siku hiyo, hata askari hodari watatimua mbio bila chochote. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Biblia Habari Njema - BHND Siku hiyo, hata askari hodari watatimua mbio bila chochote. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Siku hiyo, hata askari hodari watatimua mbio bila chochote. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Neno: Bibilia Takatifu Hata askari walio mashujaa sana siku hiyo watakimbia uchi,” asema Mwenyezi Mungu. Neno: Maandiko Matakatifu Hata askari walio mashujaa sana siku hiyo watakimbia uchi,” asema bwana. BIBLIA KISWAHILI Naye mwenye moyo mkuu miongoni mwa mashujaa Atakimbia uchi siku ile, asema BWANA. |
Wametekwa wenye moyo thabiti; Wamelala usingizi; Wala hawakuiona mikono yao Watu wote walio hodari.
Miji imetwaliwa, ngome zimeshambuliwa, na mioyo ya mashujaa wa Moabu siku hiyo itakuwa kama moyo wa mwanamke akiwa katika uchungu wa kujifungua.
Lakini Sisera akakimbia kwa miguu, akaifikia hema ya Yaeli mkewe Heberi, Mkeni; kwa maana palikuwa na amani kati ya Yabini, mfalme wa Hazori, na nyumba ya Heberi, Mkeni.