Amosi 2:16 - Swahili Revised Union Version16 Naye mwenye moyo mkuu miongoni mwa mashujaa Atakimbia uchi siku ile, asema BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Siku hiyo, hata askari hodari watatimua mbio bila chochote. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Siku hiyo, hata askari hodari watatimua mbio bila chochote. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Siku hiyo, hata askari hodari watatimua mbio bila chochote. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Hata askari walio mashujaa sana siku hiyo watakimbia uchi,” asema Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Hata askari walio mashujaa sana siku hiyo watakimbia uchi,” asema bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Naye mwenye moyo mkuu miongoni mwa mashujaa Atakimbia uchi siku ile, asema BWANA. Tazama sura |