Kisha nitakuwa hafifu zaidi, nami nitakuwa mnyonge machoni pangu mimi mwenyewe; lakini kwa wale vijakazi uliowanena, kwao nitaheshimiwa.
2 Samueli 6:23 - Swahili Revised Union Version Basi Mikali, binti Sauli, hakuwa na mtoto hata siku ya kufa kwake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi Mikali binti Shauli hakuwa na mtoto mpaka kufa kwake. Biblia Habari Njema - BHND Basi Mikali binti Shauli hakuwa na mtoto mpaka kufa kwake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi Mikali binti Shauli hakuwa na mtoto mpaka kufa kwake. Neno: Bibilia Takatifu Naye Mikali binti Sauli hakuwa na watoto hadi siku ya kufa kwake. Neno: Maandiko Matakatifu Naye Mikali binti Sauli hakuwa na watoto mpaka siku ya kufa kwake. BIBLIA KISWAHILI Basi Mikali, binti Sauli, hakuwa na mtoto hata siku ya kufa kwake. |
Kisha nitakuwa hafifu zaidi, nami nitakuwa mnyonge machoni pangu mimi mwenyewe; lakini kwa wale vijakazi uliowanena, kwao nitaheshimiwa.
Ikawa, mfalme alipokuwa akikaa katika nyumba yake, hapo BWANA alipomstarehesha, asiudhiwe na adui zake waliomzunguka pande zote,
Na yeye BWANA wa majeshi akafunua haya masikioni mwangu, Ni kweli, uovu huu hautatakaswa wala kuwatokeni hata mfe; asema Bwana, BWANA wa majeshi.
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mwanaume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
Naye Efraimu, utukufu wake utarukia mbali kama ndege, uzazi hautakuwako, wala aliye na mimba, wala achukuaye mimba.
Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana katika siku zile alizoniangalia ili kuniondolea aibu yangu mbele ya watu.
Wala Samweli hakuenda tena kuonana na Sauli hata siku ya kufa kwake; lakini Samweli alikuwa akimlilia Sauli; naye BWANA akaghairi ya kuwa amemtawaza Sauli awe mfalme juu ya Israeli.