isipokuwa hivyo walivyokula vijana, na sehemu za watu waliokwenda nami, yaani, Aneri, na Eshkoli, na Mamre; na watwae wao sehemu zao.
2 Samueli 6:1 - Swahili Revised Union Version Basi Daudi akakusanya tena wateule wote wa Israeli, watu elfu thelathini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa mara nyingine, Daudi aliwakusanya wale askari bora wa Israeli, jumla yao 30,000. Biblia Habari Njema - BHND Kwa mara nyingine, Daudi aliwakusanya wale askari bora wa Israeli, jumla yao 30,000. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa mara nyingine, Daudi aliwakusanya wale askari bora wa Israeli, jumla yao 30,000. Neno: Bibilia Takatifu Tena Daudi akakusanya vijana wenye uwezo wote wa Israeli: watu elfu thelathini. Neno: Maandiko Matakatifu Tena Daudi akakusanya watu 30,000 wa Israeli waliochaguliwa. BIBLIA KISWAHILI Basi Daudi akakusanya tena wateule wote wa Israeli, watu elfu thelathini. |
isipokuwa hivyo walivyokula vijana, na sehemu za watu waliokwenda nami, yaani, Aneri, na Eshkoli, na Mamre; na watwae wao sehemu zao.
Ndipo watu wa kabila zote za Israeli wakamwendea Daudi huko Hebroni, wakasema naye, wakinena, Tazama, sisi tu mfupa wako na nyama yako.
Ndipo Sulemani alipowakusanya wazee wa Israeli, na wakuu wote wa makabila na wakuu wa koo za wana wa Israeli, wamwendee mfalme Sulemani huko Yerusalemu, ili walipandishe sanduku la Agano la BWANA kutoka mji wa Daudi, yaani, Sayuni.
Basi Daudi akawakusanya Israeli wote, toka Shihori, kijito cha Misri, hadi pa kuingilia Hamathi, ili walilete sanduku la Mungu kutoka Kiriath-yearimu.