Ee mfalme, bwana wangu, macho ya Israeli wote yanakuelekea wewe, kwamba uwaambie ni nani atakayeketi katika kiti chako cha enzi baada yako, Ee mfalme, bwana wangu.
2 Samueli 23:2 - Swahili Revised Union Version Roho ya BWANA ilinena ndani yangu, Na neno lake likawa ulimini mwangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Roho ya Mwenyezi-Mungu imesema kwa njia yangu, aliyaweka maneno yake kinywani mwangu. Biblia Habari Njema - BHND “Roho ya Mwenyezi-Mungu imesema kwa njia yangu, aliyaweka maneno yake kinywani mwangu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Roho ya Mwenyezi-Mungu imesema kwa njia yangu, aliyaweka maneno yake kinywani mwangu. Neno: Bibilia Takatifu “Roho wa Mwenyezi Mungu alinena kupitia kwangu, neno lake lilikuwa katika ulimi wangu. Neno: Maandiko Matakatifu “Roho wa bwana alinena kupitia kwangu, neno lake lilikuwa ulimini mwangu. BIBLIA KISWAHILI Roho ya BWANA ilinena ndani yangu, Na neno lake likawa ulimini mwangu. |
Ee mfalme, bwana wangu, macho ya Israeli wote yanakuelekea wewe, kwamba uwaambie ni nani atakayeketi katika kiti chako cha enzi baada yako, Ee mfalme, bwana wangu.
Daudi mwenyewe alisema, kwa uweza wa Roho Mtakatifu, Bwana alimwambia Bwana wangu, Uketi mkono wangu wa kulia, Hata niwawekapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako.
Maana unabii haukuletwa popote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.