Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

2 Samueli 23:2 - Swahili Revised Union Version

2 Roho ya BWANA ilinena ndani yangu, Na neno lake likawa ulimini mwangu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 “Roho ya Mwenyezi-Mungu imesema kwa njia yangu, aliyaweka maneno yake kinywani mwangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 “Roho ya Mwenyezi-Mungu imesema kwa njia yangu, aliyaweka maneno yake kinywani mwangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 “Roho ya Mwenyezi-Mungu imesema kwa njia yangu, aliyaweka maneno yake kinywani mwangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 “Roho wa Mwenyezi Mungu alinena kupitia kwangu, neno lake lilikuwa katika ulimi wangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 “Roho wa bwana alinena kupitia kwangu, neno lake lilikuwa ulimini mwangu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

2 Roho ya BWANA ilinena ndani yangu, Na neno lake likawa ulimini mwangu.

Tazama sura Nakili

2 Samueli 23:2
6 Marejeleo ya Msalaba  

Ee mfalme, bwana wangu, macho ya Israeli wote yanakuelekea wewe, kwamba uwaambie ni nani atakayeketi katika kiti chako cha enzi baada yako, Ee mfalme, bwana wangu.

Akawauliza, Imekuwaje basi Daudi katika Roho kumwita Bwana, akisema,

Daudi mwenyewe alisema, kwa uweza wa Roho Mtakatifu, Bwana alimwambia Bwana wangu, Uketi mkono wangu wa kulia, Hata niwawekapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako.

Maana unabii haukuletwa popote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo