2 Samueli 22:13 - Swahili Revised Union Version Toka mwangaza uliokuwa mbele zake Makaa ya moto yakawashwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Umeme ulimulika mbele yake, kulilipuka makaa ya moto. Biblia Habari Njema - BHND Umeme ulimulika mbele yake, kulilipuka makaa ya moto. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Umeme ulimulika mbele yake, kulilipuka makaa ya moto. Neno: Bibilia Takatifu Kutokana na mwanga wa uwepo wake mwanga wa radi ukatoka. Neno: Maandiko Matakatifu Kutokana na mwanga wa uwepo wake mawingu yalisogea, ikanyesha mvua ya mawe na umeme wa radi. BIBLIA KISWAHILI Toka mwangaza uliokuwa mbele zake Makaa ya moto yakawashwa. |
Kukapanda moshi kutoka puani mwake, Moto ukatoka kinywani mwake ukala; Makaa yakawashwa nao.
Na kuonekana kwake ule utukufu wa BWANA kulikuwa kama moto uteketezao, juu ya mlima machoni pa wana wa Israeli.