lakini ukirudi mjini, na kumwambia Absalomu, Nitakuwa mtumishi wako, Ee mfalme; kama vile nilivyokuwa mtumishi wa baba yako tokea zamani, ndivyo nitakavyokuwa mtumishi wako sasa; ndipo utayavunja mashauri ya Ahithofeli kwa ajili yangu.
2 Samueli 15:33 - Swahili Revised Union Version Daudi akamwambia, Ukienda mbele pamoja nami, utakuwa mzigo kwangu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Daudi akamwambia, “Ukienda pamoja nami, utakuwa mzigo kwangu. Biblia Habari Njema - BHND Daudi akamwambia, “Ukienda pamoja nami, utakuwa mzigo kwangu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Daudi akamwambia, “Ukienda pamoja nami, utakuwa mzigo kwangu. Neno: Bibilia Takatifu Daudi akamwambia, “Ukienda pamoja nami, utakuwa mzigo kwangu. Neno: Maandiko Matakatifu Daudi akamwambia, “Kama ukienda pamoja nami, utakuwa mzigo kwangu. BIBLIA KISWAHILI Daudi akamwambia, Ukienda mbele pamoja nami, utakuwa mzigo kwangu; |
lakini ukirudi mjini, na kumwambia Absalomu, Nitakuwa mtumishi wako, Ee mfalme; kama vile nilivyokuwa mtumishi wa baba yako tokea zamani, ndivyo nitakavyokuwa mtumishi wako sasa; ndipo utayavunja mashauri ya Ahithofeli kwa ajili yangu.
Sasa nina miaka themanini; nami je! Naweza kupambanua mema na mabaya? Mimi mtumishi wako, je! Naweza kuonja nilacho au ninywacho? Naweza kusikia tena sauti ya waimbaji wa kiume na wa kike? Kwa nini basi mtumishi wako azidi kumlemea bwana wangu mfalme?