Ndipo Daudi akapeleka habari kwa Yoabu, akisema, Mtume kwangu Uria, Mhiti. Naye Yoabu akamtuma Uria kwa Daudi.
2 Samueli 11:5 - Swahili Revised Union Version Yule mwanamke akachukua mimba; basi akapeleka habari na kumwambia Daudi, akasema, Ni mja mzito. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwanamke huyo akapata mimba, naye akatuma habari kwa Daudi kuwa ana mimba yake. Biblia Habari Njema - BHND Mwanamke huyo akapata mimba, naye akatuma habari kwa Daudi kuwa ana mimba yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwanamke huyo akapata mimba, naye akatuma habari kwa Daudi kuwa ana mimba yake. Neno: Bibilia Takatifu Huyo mwanamke akapata mimba akampelekea Daudi ujumbe, kusema, “Mimi ni mjamzito.” Neno: Maandiko Matakatifu Huyo mwanamke akapata mimba akampelekea Daudi ujumbe, kusema, “Mimi ni mjamzito.” BIBLIA KISWAHILI Yule mwanamke akachukua mimba; basi akapeleka habari na kumwambia Daudi, akasema, Ni mja mzito. |
Ndipo Daudi akapeleka habari kwa Yoabu, akisema, Mtume kwangu Uria, Mhiti. Naye Yoabu akamtuma Uria kwa Daudi.
Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mwanamume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.
Akifumaniwa mtu mume amelala na mwanamke aliyeolewa na mume, na wafe wote wawili, mtu mume aliyelala na mwanamke, na yule mwanamke naye; ndivyo utakavyoondoa uovu katika Israeli.