2 Samueli 11:5 - Swahili Revised Union Version5 Yule mwanamke akachukua mimba; basi akapeleka habari na kumwambia Daudi, akasema, Ni mja mzito. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Mwanamke huyo akapata mimba, naye akatuma habari kwa Daudi kuwa ana mimba yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mwanamke huyo akapata mimba, naye akatuma habari kwa Daudi kuwa ana mimba yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mwanamke huyo akapata mimba, naye akatuma habari kwa Daudi kuwa ana mimba yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Huyo mwanamke akapata mimba akampelekea Daudi ujumbe, kusema, “Mimi ni mjamzito.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Huyo mwanamke akapata mimba akampelekea Daudi ujumbe, kusema, “Mimi ni mjamzito.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Yule mwanamke akachukua mimba; basi akapeleka habari na kumwambia Daudi, akasema, Ni mja mzito. Tazama sura |