1 Wakorintho 10:12 - Swahili Revised Union Version Kwa hiyo anayejidhania kuwa amesimama na aangalie asianguke. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Anayedhani amesimama imara ajihadhari asianguke. Biblia Habari Njema - BHND Anayedhani amesimama imara ajihadhari asianguke. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Anayedhani amesimama imara ajihadhari asianguke. Neno: Bibilia Takatifu Hivyo, yeye ajidhaniaye amesimama, aangalie asianguke. Neno: Maandiko Matakatifu Hivyo, yeye ajidhaniaye amesimama, aangalie asianguke. BIBLIA KISWAHILI Kwa hiyo anayejidhania kuwa amesimama na aangalie asianguke. |
Jiangalieni basi jinsi msikiavyo; kwa kuwa mwenye kitu atapewa, na yule asiye na kitu atanyang'anywa hata kile ambacho anadhaniwa kuwa nacho.
Vema. Yalikatwa kwa kutoamini kwao, na wewe wasimama kwa imani yako. Usijivune, bali uogope.
Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu, kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu, wala si kwa jinsi ya Kristo.
Basi, wapenzi kwa kuwa mmejua hayo, jihadharini msije mkapotoshwa na kosa la hao wahalifu mkaanguka na kuuacha uthabiti wenu.