1 Wakorintho 8:2 - Swahili Revised Union Version2 Mtu akidhani ya kuwa anajua neno, hajui neno lolote bado, kama impasavyo kujua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Anayefikiri kwamba anajua kitu, kwa kweli hajui chochote kama inavyompasa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Anayefikiri kwamba anajua kitu, kwa kweli hajui chochote kama inavyompasa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Anayefikiri kwamba anajua kitu, kwa kweli hajui chochote kama inavyompasa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Mtu yeyote anayedhani kwamba anajua kitu, bado hajui kama impasavyo kujua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Mtu yeyote anayedhani kwamba anajua kitu, bado hajui kama impasavyo kujua. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Mtu akidhani ya kuwa anajua neno, hajui neno lolote bado, kama impasavyo kujua. Tazama sura |