Methali 28:14 - Swahili Revised Union Version14 Mwanadamu mwenye kicho yu heri sikuzote; Bali mshupavu wa moyo ataangukia madhara. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Heri mtu amchaye Mwenyezi-Mungu daima; lakini mkaidi wa moyo ataangukia maafa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Heri mtu amchaye Mwenyezi-Mungu daima; lakini mkaidi wa moyo ataangukia maafa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Heri mtu amchaye Mwenyezi-Mungu daima; lakini mkaidi wa moyo ataangukia maafa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Amebarikiwa mtu ambaye siku zote humcha Mwenyezi Mungu, bali yeye afanyaye moyo wake kuwa mgumu huanguka kwenye taabu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Amebarikiwa mtu ambaye siku zote humcha bwana, bali yeye afanyaye moyo wake kuwa mgumu huangukia kwenye taabu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Mwanadamu mwenye kicho yu heri siku zote; Bali mshupavu wa moyo ataangukia madhara. Tazama sura |